2 Mambo ya Nyakati 20:12
2 Mambo ya Nyakati 20:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ndiwe Mungu wetu! Waadhibu, kwani sisi hatuna uwezo wowote mbele ya jeshi kubwa kama hili linalotujia. Hatujui la kufanya ila tunatazamia msaada kutoka kwako.”
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 202 Mambo ya Nyakati 20:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Mungu wetu, je! Hutawahukumu? Maana sisi hatuna uwezo juu ya jamii kubwa hii, wanaotujia juu yetu; wala hatujui tufanyeje; lakini macho yetu yanatazama kwako.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 20