2 Mambo ya Nyakati 18:20
2 Mambo ya Nyakati 18:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, pepo mmoja akajitokeza mbele ya Mwenyezi-Mungu, akasema, ‘Mimi nitamshawishi.’ Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 182 Mambo ya Nyakati 18:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya. BWANA akamwambia, Jinsi gani?
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 18