1 Timotheo 6:16
1 Timotheo 6:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye peke yake anaishi milele katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. Hakuna mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. Kwake iwe heshima na uwezo wa milele! Amina.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyewahi kumwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6