1 Timotheo 6:12
1 Timotheo 6:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Piga mbio kadiri uwezavyo katika shindano la mbio za imani, ukajipatie tuzo la uhai wa milele uliloitiwa wakati ulipokiri imani yako mbele ya mashahidi wengi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Piga vita vile vizuri vya imani; shika uzima ule wa milele ulioitiwa, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi wengi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Piga vita vile vizuri vya imani; shika uzima ule wa milele ulioitiwa, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi wengi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6