1 Timotheo 5:8
1 Timotheo 5:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama mtu hawatunzi watu wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani kwake, basi, mtu huyo ameikana imani, na ni mbaya zaidi kuliko mtu asiyeamini.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 51 Timotheo 5:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 5