1 Timotheo 5:13
1 Timotheo 5:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena, pamoja na hayo, hujifunza kuwa wavivu, wakizungukazunguka nyumba kwa nyumba; wala si wavivu tu, lakini ni wachongezi na wadadisi, wakinena maneno yasiyowapasa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 51 Timotheo 5:13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Zaidi ya hayo, wajane kama hao huwa na tabia ya uvivu wakizurura nyumba kwa nyumba, wala hawawi wavivu tu, bali pia huwa wasengenyaji, wajiingizao katika mambo yasiyowahusu na kusema mambo yasiyowapasa kusema.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 5