1 Timotheo 4:7
1 Timotheo 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini achana na hadithi zile zisizo za kidini na ambazo hazina maana. Jizoeshe kuishi maisha ya uchaji wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 41 Timotheo 4:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali hadithi za kale, zisizokuwa za dini, uzikatae; nawe ujizoeze kupata utauwa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 4