1 Timotheo 4:4-5
1 Timotheo 4:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila kitu alichoumba Mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe kwa sala ya shukrani, kwa sababu neno la Mungu na sala hukifanya kitu hicho kikubalike kwa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 41 Timotheo 4:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani; kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 4