1 Timotheo 4:12
1 Timotheo 4:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Usikubali mtu yeyote akudharau kwa sababu wewe ni kijana, lakini jitahidi uwe mfano kwa wanaoamini: Katika usemi wako, mwenendo wako, upendo, imani na maisha safi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 41 Timotheo 4:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 41 Timotheo 4:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 4