1 Timotheo 3:4-5
1 Timotheo 3:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote. Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu?
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 31 Timotheo 3:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu; (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje kanisa la Mungu?)
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 31 Timotheo 3:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu; (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?)
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 31 Timotheo 3:4-5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia. (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu?)
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 3