1 Timotheo 2:9
1 Timotheo 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Hali kadhalika, nawataka wanawake wawe wanyofu na wenye busara kuhusu mavazi yao; wavae sawasawa na si kwa urembo wa mitindo ya kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 21 Timotheo 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 2