1 Timotheo 2:8
1 Timotheo 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, popote mnapokutana kufanya ibada nataka wanaume wasali, watu waliojitolea kweli na ambao wanaweza kuinua mikono yao wakisali bila hasira wala ubishi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 21 Timotheo 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, nataka wanaume waombe kila mahali, huku wakiinua mikono iliyotakata pasipo hasira wala majadiliano.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 2