1 Timotheo 1:17
1 Timotheo 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwake yeye aliye Mfalme wa milele, asiyekufa, asiyeonekana na aliye Mungu pekee – kwake viwe heshima na utukufu milele na milele! Amina.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kuona uharibifu, asiyeonekana, Mungu peke yake, na iwe heshima na utukufu milele na milele. Amina.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1