1 Timotheo 1:13
1 Timotheo 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)
ingawa pale awali mimi nilimtukana na kumtesa na kumdhulumu. Lakini Mungu alinionea huruma, kwa sababu sikuwa na imani bado, na hivyo sikujua nilichokuwa ninafanya.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ingawa hapo awali nilikuwa mtukanaji, mwenye kuudhi watu, mwenye ujeuri, lakini nilipata rehema kwa kuwa nilifanya hivyo kwa ujinga, na kwa kutokuwa na imani.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1