1 Wathesalonike 4:3-4
1 Wathesalonike 4:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu anataka nyinyi muwe watakatifu na mjiepushe kabisa na maisha ya zinaa. Kila mwanamume anapaswa kujua namna ya kuishi na mkewe kwa utakatifu na heshima
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 41 Wathesalonike 4:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na uasherati; kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 4