1 Wathesalonike 4:13
1 Wathesalonike 4:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, twataka mjue ukweli kuhusu wale ambao wamekwisha fariki dunia, ili msipatwe na huzuni kama watu wengine wasio na matumaini.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 41 Wathesalonike 4:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 4