1 Wathesalonike 3:3
1 Wathesalonike 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
kusudi imani ya mtu yeyote miongoni mwenu isije ikafifia kwa sababu ya taabu hizo. Nyinyi mnajua kwamba tunapaswa kupata mateso.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 31 Wathesalonike 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mtu asifadhaishwe na dhiki hizi; maana ninyi wenyewe mnajua ya kuwa ndizo tulizowekewa.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 3