1 Wathesalonike 3:13
1 Wathesalonike 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo ataiimarisha mioyo yenu, nanyi mtakuwa wakamilifu na watakatifu mbele ya Mungu na Baba yetu wakati Bwana wetu Yesu atakapokuja pamoja na wote walio wake.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 31 Wathesalonike 3:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
apate kuifanya imara mioyo yenu iwe bila lawama katika utakatifu mbele za Mungu, Baba yetu, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu pamoja na watakatifu wake wote.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 3