1 Wathesalonike 3:12
1 Wathesalonike 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana awawezeshe nyinyi kupendana na kuwapenda watu wote zaidi na zaidi, kama vile sisi tunavyowapenda nyinyi.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 31 Wathesalonike 3:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bwana na awaongeze na kuwazidisha katika upendo, ninyi kwa ninyi, na kwa watu wote, kama vile sisi nasi tulivyo kwenu
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 3