1 Samueli 9:21
1 Samueli 9:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Sauli akajibu, akasema, Je! Mimi si Mbenyamini, mtu wa kabila iliyo ndogo kuliko kabila zote za Israeli? Na jamaa yangu nayo si ndogo kuliko jamaa zote za kabila ya Benyamini? Kwa nini basi, kuniambia hivyo?
Shirikisha
Soma 1 Samueli 91 Samueli 9:21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sauli akajibu, “Je, mimi si Mbenyamini, kutoka kabila dogo kuliko yote ya Israeli, nao ukoo wangu si ndio mdogo kuliko koo zote za kabila la Benyamini? Kwa nini uniambie jambo la namna hiyo?”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 9