1 Samueli 9:17
1 Samueli 9:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Samueli alipomwona tu Shauli, Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Huyu ndiye yule mtu niliyekuambia. Yeye ndiye atakayewatawala watu wangu.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 91 Samueli 9:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia juu zake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 9