1 Samueli 7:4
1 Samueli 7:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, Waisraeli wakatupilia mbali sanamu za Mabaali na Maashtarothi, wakamtumikia Mwenyezi-Mungu peke yake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 71 Samueli 7:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo wana wa Israeli wakayaondoa Mabaali na Maashtorethi, wakamtumikia BWANA peke yake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 7