1 Samueli 7:12
1 Samueli 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Samueli alichukua jiwe na kulisimamisha kati ya Mizpa na Sheni, akaliita jiwe hilo Ebenezeri akisema, “Mwenyezi-Mungu ametusaidia mpaka sasa.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 71 Samueli 7:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Ebenezeri, akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 7