1 Samueli 30:8
1 Samueli 30:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, genge hili nilifuate? Na je nitalikamata?” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Lifuate kwani utalipata na kuwaokoa hao waliotekwa.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 301 Samueli 30:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Daudi akauliza kwa BWANA, akasema, Je! Nikiwafuata jeshi hili, nitawapata? Naye akamjibu, Fuata; kwa kuwa hakika utawapata, nawe hukosi utawapokonya wote.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 30