1 Samueli 3:9
1 Samueli 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo Eli akamwambia Samueli, “Nenda ukalale, na akikuita, mwambie hivi: ‘Sema, ee Mwenyezi-Mungu, kwani mimi mtumishi wako nasikiliza.’” Hivyo Samueli akarudi na kulala mahali pake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 31 Samueli 3:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo Eli akamwambia Samweli, Nenda, kalale; itakuwa, akikuita, utasema, Nena, BWANA; kwa kuwa mtumishi wako anasikia. Basi Samweli akaenda akalala mahali pake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 3