1 Samueli 2:9
1 Samueli 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Maisha ya waaminifu wake huyalinda, lakini maisha ya waovu huyakatilia mbali gizani. Maana, binadamu hapati ushindi kwa nguvu zake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 21 Samueli 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake; Bali waovu watanyamazishwa gizani, Maana kwa nguvu hakuna atakayeshinda
Shirikisha
Soma 1 Samueli 2