1 Samueli 16:7
1 Samueli 16:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Usiangalie sura yake na urefu wa kimo chake. Mimi nimemkataa kwani siangalii mambo kama wanavyoyaangalia binadamu wenye kufa. Binadamu huangalia uzuri wa nje, lakini mimi naangalia moyoni.”
1 Samueli 16:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.
1 Samueli 16:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)