1 Samueli 15:22
1 Samueli 15:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo Samueli akamwambia, “Je, Mwenyezi-Mungu anapendelea zaidi dhabihu za kuteketezwa na matambiko, kuliko kuitii sauti yake? Tazama, kumtii yeye ni bora kuliko matambiko na kumsikiliza kuliko kumtambikia mafuta ya beberu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 151 Samueli 15:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Samweli akasema, Je! BWANA huzipenda sadaka za kuteketezwa na dhabihu Sawasawa na kuitii sauti ya BWANA? Angalia, kutii ni bora kuliko dhabihu, Na kusikiza ushauri kuliko mafuta ya beberu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 15