1 Samueli 13:12
1 Samueli 13:12 Biblia Habari Njema (BHN)
nikawaza kwamba Wafilisti watakuja kunishambulia huko Gilgali. Tena nilikuwa bado sijaomba fadhili za Mwenyezi-Mungu. Ndipo nilipolazimika kutolea mimi mwenyewe sadaka ya kuteketezwa.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 131 Samueli 13:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nilijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 13