1 Samueli 1:6
1 Samueli 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Penina, mchokozi wa Hana, daima alikuwa akimkasirisha vikali na kumuudhi Hana kwa kuwa Mwenyezi-Mungu hakumjalia watoto.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11 Samueli 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ila mwenzake humchokoza sana, ili kumwuudhi, kwa sababu BWANA alikuwa amemfunga tumbo.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 1