1 Petro 5:7-8
1 Petro 5:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni. Muwe macho; kesheni! Maana adui yenu, Ibilisi, huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mawindo.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu. Muwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka zunguka, akitafuta mtu ammeze.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu. Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.
Shirikisha
Soma 1 Petro 5