1 Petro 5:6-7
1 Petro 5:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa enzi wa Mungu, ili awainue wakati ufaao. Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake; huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake; huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 5