1 Petro 5:2
1 Petro 5:2 Biblia Habari Njema (BHN)
mlichunge lile kundi la Mungu mlilokabidhiwa; mlitunze si kwa kulazimika, bali kwa hiari kama atakavyo Mungu. Fanyeni kazi hiyo si kwa tamaa ya fedha, bali kwa moyo wenu wote.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lichungeni kundi la Mungu lililo kwenu, na kulisimamia, si kwa kulazimishwa, bali kwa hiari kama Mungu atakavyo; si kwa kutaka fedha ya aibu, bali kwa moyo.
Shirikisha
Soma 1 Petro 5