1 Petro 4:16
1 Petro 4:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama mtu akiteseka kwa sababu ni Mkristo, basi, asione aibu, bali amtukuze Mungu, kwa sababu mtu huyo anaitwa kwa jina la Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ikiwa mtu yeyote miongoni mwenu anateseka kwa sababu ni Mkristo, asione haya, bali amtukuze Mungu maana ana jina hili.
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini ikiwa kwa sababu ni Mkristo asione haya, bali amtukuze Mungu katika jina hilo.
Shirikisha
Soma 1 Petro 4