1 Petro 4:12
1 Petro 4:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wapenzi, msione kuwa ni ajabu ule msiba ulio kati yenu, unaowapata kama moto ili kuwajaribu, kana kwamba ni kitu kigeni kiwapatacho.
Shirikisha
Soma 1 Petro 41 Petro 4:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Wapenzi wangu, msishangae kuhusu majaribio makali mnayopata kana kwamba mnapatwa na kitu kisicho cha kawaida.
Shirikisha
Soma 1 Petro 4