1 Petro 2:24
1 Petro 2:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye mwenyewe alizibeba dhambi zetu katika mwili wake juu ya msalaba, tupate kufa kuhusu dhambi, na kuishi kwa ajili ya uadilifu. Kwa majeraha yake, nyinyi mmeponywa.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2