1 Petro 2:2-3
1 Petro 2:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa. Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mmegundua kwamba Bwana ni mwema.”
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu; ikiwa mmeonja ya kwamba Bwana ni mwenye fadhili.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2