1 Petro 2:16
1 Petro 2:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Ishini kama watu huru; lakini msiutumie uhuru wenu kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kama walio huru, ila wasioutumia uhuru huo kwa kusitiri ubaya, bali kama watumwa wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kama walio huru, ila wasioutumia uhuru huo kwa kusitiri ubaya, bali kama watumwa wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2