1 Petro 2:12
1 Petro 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenendo wenu kati ya watu wasiomjua Mungu unapaswa kuwa mwema kabisa, ili hata watakapowasingizieni kwamba mnatenda mabaya, waweze kutambua matendo yenu mema na hivyo wamtukuze Mungu siku ya kuja kwake.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Muwe na mwenendo mzuri kati ya Mataifa, ili, iwapo huwasingizia kuwa watenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2