1 Petro 2:10
1 Petro 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati mmoja nyinyi hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa nyinyi ni watu wake; wakati mmoja hamkupewa huruma ya Mungu, lakini sasa mmepokea huruma.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2