1 Petro 1:8
1 Petro 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mnampenda, ingawaje hamjamwona, na mnamwamini, ingawa hammwoni sasa. Hivyo, mnafurahi kwa furaha tukufu isiyoelezeka
Shirikisha
Soma 1 Petro 11 Petro 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye mwampenda, ijapokuwa hamkumwona; ambaye ijapokuwa hamumwoni sasa, mnamwamini; na kufurahi sana, kwa furaha isiyoneneka, yenye utukufu
Shirikisha
Soma 1 Petro 11 Petro 1:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye mwampenda, ijapokuwa hamkumwona; ambaye ijapokuwa hamwoni sasa, mnamwamini; na kufurahi sana, kwa furaha isiyoneneka, yenye utukufu
Shirikisha
Soma 1 Petro 1