1 Petro 1:15-16
1 Petro 1:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Bali mnapaswa kuwa watakatifu katika mwenendo wenu wote, kama vile yule aliyewaiteni ni mtakatifu. Maandiko yasema: “Muwe watakatifu, kwa kuwa mimi alivyo mtakatifu.”
Shirikisha
Soma 1 Petro 11 Petro 1:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 1