1 Wafalme 8:47
1 Wafalme 8:47 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
basi, wakijirudia nafsi zao katika nchi ile watakayochukuliwa mateka, wakitubu, na kukusihi katika nchi ya hao waliowachukua mateka, wakisema, Tumekosa, tumefanya ukaidi, tumetenda maovu
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 81 Wafalme 8:47 Biblia Habari Njema (BHN)
kama watakapokuwa huko uhamishoni watajirudi moyoni na kutubu na kukuomba msamaha, wakisema, ‘Tumetenda dhambi; tumepotoka na kufanya maovu;’
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 8