1 Wafalme 4:29
1 Wafalme 4:29 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mungu akampa Solomoni hekima na akili kubwa, pia ufahamu mpana usiopimika kama mchanga ulioko pwani ya bahari.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 41 Wafalme 4:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alimpa Solomoni hekima zaidi na akili kwa wingi; maarifa yake yalikuwa kama mchanga wa pwani, hayakuwa na kipimo.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 4