1 Wafalme 22:22
1 Wafalme 22:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwuliza, ‘Kwa mbinu gani?’ Naye akajibu, ‘Nitakwenda na kuwafanya manabii wake wote waseme uongo.’ Mwenyezi-Mungu akamwambia, ‘Wewe utamshawishi na utafaulu; haya, nenda ukafanye hivyo.’
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 221 Wafalme 22:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia, Jinsi gani? Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo kinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka ukafanye hivyo.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 22