1 Wafalme 19:8
1 Wafalme 19:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Elia akaamka, akala na kunywa. Kisha akatembea kwa nguvu ya chakula hicho mwendo wa siku arubaini, mchana na usiku, mpaka Horebu, mlima wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akainuka, akala, akanywa, akaenda katika nguvu za chakula hicho siku arubaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19