1 Wafalme 19:1
1 Wafalme 19:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Ahabu alimsimulia mkewe Yezebeli mambo yote aliyofanya Elia na jinsi alivyowaua manabii wa Baali kwa upanga.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, Ahabu akamwambia Yezebeli habari ya mambo yote aliyoyafanya Eliya, na jinsi alivyowaua manabii wote kwa upanga.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19