1 Wafalme 18:46
1 Wafalme 18:46 Biblia Habari Njema (BHN)
Nguvu ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Elia, naye akajifunga na kukaza joho lake, akakimbia na kumtangulia Ahabu kuingia mjini Yezreeli.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:46 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkono wa BWANA ulikuwa juu ya Eliya; akajikaza viuno, akapiga mbio akatangulia Ahabu mpaka kuiingia Yezreeli.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18