1 Wafalme 18:39
1 Wafalme 18:39 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu walipoona hivyo, walianguka kifudifudi na kusema, “Mwenyezi-Mungu, ni Mungu; Mwenyezi-Mungu, ni Mungu!”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:39 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watu wote walipoona, wakaanguka kifudifudi; wakasema, BWANA ndiye Mungu, BWANA ndiye Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18