1 Wafalme 18:31
1 Wafalme 18:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Alitwaa mawe kumi na mawili, hesabu ya makabila kumi na mawili yaliyopewa majina ya wana wa Yakobo ambaye Mwenyezi-Mungu alimwambia “Jina lako litakuwa Israeli.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Eliya akatwaa mawe kumi na mawili, kwa hesabu ya makabila ya wana wa Yakobo, aliyejiliwa na neno la BWANA na kuambiwa, Jina lako litakuwa Israeli.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18